Ukurasa usipofanya kazi, fungua kwa kivinjari kilichosasishwa. Ukiwa tayari umelipia, usilipe tena. Piga 0789 906 676 tukusaidie.

TELEZA

Internet bila kuhesabu MB

Tumia vocha

Kwa kuanza kifurushi kipya, unakubali masharti.

Nunua kwa simu

  • M-Pesa
  • Mixx by Yas
  • Airtel Money
  • HaloPesa
  • AzamPesa

Kuwa wakala wa TELEZA

Uza vocha za TELEZA katika eneo lako na upate faida kwa kila mauzo.

Wasiliana nasi kujua kiwango cha kamisheni, masharti na jinsi ya kuanza.

Tupigie kwa maelezo zaidi

0653973303

Msaada

Ninaunganisha vipi?

Una vocha? Weka code kwenye “Code ya vocha”, kisha bonyeza “Unganisha”.

Unalipia kwa simu? Chagua kifurushi, weka namba yako na bonyeza “Lipa”. Thibitisha ombi kwenye simu yako, kisha subiri hapa.

Nikikatika, nanunua tena?

Hapana, kama bado una muda. Bonyeza “Endelea” kama inaonekana, au weka vocha ileile. Kwa code ya SMS, fungua “Msaada” kisha “Ulishalipia? Unganisha tena”. Kifurushi kitaendelea na muda uliobaki, si muda mpya.

Ukiunganisha kifaa kingine, cha zamani huondolewa. Kifurushi kikiisha, nunua kingine.

Pesa imekatwa, sijaunganishwa.

Usilipe tena. Baki kwenye ukurasa huu. Kama code imefika kwa SMS, fungua “Msaada” kisha “Ulishalipia? Unganisha tena”.

Usipopata muunganisho, wasiliana na msaada ukiwa na namba uliyolipia, kiasi, muda na kumbukumbu ya muamala. Usitume PIN au code ya siri ya malipo.

Code haijakubaliwa au SMS haijafika.

Hakiki code kisha ujaribu tena. Ujumbe ukisema kifurushi kimeisha, muda wake umefika mwisho.

Kama ulinunua vocha, hakiki na wakala kwamba aliweka namba yako sahihi kwa SMS. Kama pesa ilikatwa lakini huna code, wasiliana na msaada kabla ya kulipa tena.

Mtandao ni polepole au haujafunguka.

Hakikisha umeunganishwa kwenye Wi-Fi ya TELEZA. Sogea sehemu yenye signal nzuri, kisha ujaribu kuunganisha tena kama kifurushi bado kina muda.

Umbali, vizuizi na msongamano vinaweza kuathiri kasi.